Search

49 results for Peter Edson :

  1. Kina Mdee wapiga hodi Mahakama ya Rufani

    Wabunge 19 wa viti maalumu waliovuliwa uanachama na Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 wamebisha hodi Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa...

  2. PRIME Kesi ya Gekul bado mbichi, DPP atoa msimamo

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Sylvester Mwakitalu ameleeza sababu za kuifuta kesi ya jinai dhidi ya mbunge wa Babati mjini, Pauline Gekul na hatima ya kesi hiyo kuwa wakati wowote ataifungua kama...

  3. PRIME Hatua kwa hatua kesi ya kina mdee

    Desemba 14,2023, Mahakama Kuu ya Tanzania kupitia kwa Jaji Cyprian Mkeha ilibatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), lililobariki kuvuliwa uanachama Halima...

  4. PRIME Hukumu ya kina Mdee, Chadema kesho

    Mdee ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), na wenzake 18 walifungua kesi hiyo Mahakama Kuu Masjala Kuu, wakipinga kufukuzwa uanachama; kwa utaratibu wa Mapitio ya...

  5. Hatima ya kina Mdee Desemba 14

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga Desemba 14, 2023 kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na...

  6. Mbivu, mbichi Desemba 14 kesi ya kina Mdee

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Desemba 14, 2023 kutoa hukumu katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wabunge 19 wa Viti Maalumu akiwamo Halima Mdee, ambao walifukuzwa Uanachama...

    New Content Item (1)
  7. PRIME Kina Mdee, Chadema leo tena mahakamani

    Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo...

  8. 'Pele' achana na soka, muziki na filamu nako moto

    Mfalme wa soka duniani, Pele alipenda sana muziki na amekuwa mwgizaji wa filamu.

  9. Kesi ya kina Mdee yaahirishwa hadi Machi 6

    Mahakama Kuu Masijala Kuu jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi iliyofunguliwa na wabunge 19 wanaopinga uamuzi wa kufukuzwa Chadema, kufuatia wakili wa chama hicho, Peter Kibatala kuwa...

  10. Pareso aeleza wito wa Chadema ulivyompa taharuki

    Amedai baada ya kupokea wito huo uliotoka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, aliomba kuongezewa muda wa wiki moja ili aweze kuangalia mazingira yaliyopo ya kwenda kwenye Kamati hiyo, maana...

Page 1 of 5

Next